Wananchi wote wa Wilaya ya Urambo mnatangaziwa kuwa zoezi la uboreshaji wa daftari la kudumu la wapiga kura awamu ya pili, na uwekaji wazi daftari la awali, litafanyika kuanzia tarehe 01.05.2025 hadi tarehe 07.05.2025
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.