ORODHA YA WAANDISHI WASAIDIZI NA WAENDESHA MASHINE BVR OPERATORS WALIOITWA KUSHIRIKI MAFUNZO TAREHE 17-18/07/2024
|
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Urambo anawatangazia na kuwajulisha Waandishi Wasaidizi pamoja na Waendesha Mashine (BVR OPERATORS) katika orodha ambatanishwa kushiriki mafunzo kuanzia tarehe 17/07/2024 hadi 18/07/2024 katika vituo walivyopangiwa.
Orodha yao inapatikana PAKUA HAPA
Kwa maelezo zaidi tembelea mbao za matangazo za kila ofisi ya Kata.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.