8.2. Matukio ya ushiriki wa jamii katika utekelezaji wa zoezi la utunzaji wa mazingira katika Wilaya ya Urambo
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Mhe. Aggrey D. J. Mwanri akizindua zoezi la upandaji miti
Wilayani Urambo |
Katibu Tawala wa Wilaya ya Urambo Ndg. Paschal Byemelwa akikagua bustani ya Halmashauri ya Urambo
|
|
|
Timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ikikagua bustani ya miti ya Kampuni ya Alliance One |
Timu ya Wataalam wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ikikagua bustani ya miti ya Kampuni ya JTI |
Wananchi, Watumishi wa Halmashauri na Taasisi wakishiriki kupanda miti katika chanzo cha maji cha Kitongoji cha Kariakoo Mjini Urambo siku ya Mazingira Duniani tarehe 5.6.2018 |
Watumishi wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo wakishiriki kufanya usafi wa mazingira ya ofisi za Mamlaka ya Mji Mdogo Urambo |
Wanafunzi wa Shule ya Ukombozi Sekondari wakishiriki zoezi la usafi wa mazingira |
Afisa Misitu Wilaya ya Urambo Ndg. Nicholaus Masese akikagua shamba la miti la Ndg. Robert Kirunda lililopo sehemu ya Mapozeo kitongoji cha Mabatini Kata ya Urambo. |
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.