Idara hii ina lengo la kutoa huduma bora za usimamizi wa Fedha Idara hii inaongozwa na Mweka Hazina ambaye anawajibika kwa Mtendaji Wilaya.
Huduma mbalimbali zinazotolewa na zinazopatikana idara ya Fedha na Biashara ni;
Elimu ya mlipa kodi ; Idara inatoa elimu hii kwa njia ya mbalimbali ikiwemo vipeperushi, matangazo kwenye redio,Televisheni na magazeti.
Huduma za malipo mbalimbali ya watumishi na watoa huduma katika Halmashauri.
Leseni za biashara mbalimbali katika Halmashauri zinapatikana katika kitengo cha biashara.
Vitendea kazi vya kukusanyia mapato kama stakabadhi za kupokelea mapato, mashine za kielektroniki(POS Machine)
Ukusanyaji wa vyanzo vyote vya mapato ya halmashauri
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 45582 Barabara ya Stendi Boma, S.L.P 170 Urambo-Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: 0784828287
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2022 Urambo . All rights reserved.