• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Urambo  District  Council
Urambo  District  Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Urambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu msingi
      • Elimu sekondari
      • Idara ya Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Fedha
    • Kata
      • Kata Zetu
    • Kibali cha Safari
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kiutumishi
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
      • Mwaka 2020-2025
      • Mwaka 2015-2020
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Afya, Elimu na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati Nyinginezo
        • Kamati ya Ugawaji wa Viwanja
        • Kamati ya Ajira
        • Kamati ya ALAT Mkoa
        • Wajumbe wa Mamlaka ya Mji Mdogo
    • Ratiba ya Vikao
    • Taarifa mbalimbali
  • Miradi
    • Miradi Mipya Itayotekelezwa
    • Miradi inayaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Sheria
    • Taarifa
    • Taratibu
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Matukio
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video

Kata ya Imalamakoye

UTANGULIZI

Kata ya Imalamakoye ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, ambapo  ipo Kusini mwa makao makuu ya Wilaya. Pia  kwa upande wa  Kusini  imepakana na Kata Nsenda ,Mashariki  Kata za Kapilula na Kasisi Kaskazini Kata ya Urambo na Magharibi Kata ya Ukondamoyo.

UTAWALA 

Kata ina kijiji 01 na vitongoji 4, inayo ofisi 1 ya Serkali ya Kijiji cha Imalamakoye.

Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake

NA
KIJIJI

VITONGOJI

1
IMALAMAKOYE
MACHEMBA
IMALAMAKOYE ‘B’
IMALAMAKOYE ‘C’
IMALAMAKOYE ‘D’

 

IDADI YA WATU 

Kata ina jumla ya wakazi 6015 kwa mchanganuo ufuatao:-

IDADI YA WATU
ME
KE
2569
3446

 

UONGOZI NA WATUMISHI 

Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa

KADA
WALIMU
WATENDAJI WA VIJIJI
WATENDAJI WA KATA
MEK
AFISA MIFUGO
IDADI
14
0
1
1
1

Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa

KADA
DIWANI

WENYEVITI WA VIJIJI

WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI

DIWANI
1
1
23

SEKTA YA ELIMU 

Kata ya Imalamakoye inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:

  • Msingi ni Imalamakoye
  • Sekondari ni Imala bado ipo katika hatua ya ujenzi

Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu


SHULE ZA MSINGI
SHULE ZA SEKONDARI
IDADI
1
1 (inajengwa)

Taarifa nyingine za Elimu ni:

  • Uandikishaji wa watoto Elimu Awali 35 sawa na 37% ya makisio
  • Uandikishaji wa watoto Elimu ya msingi (darasa la I) 76 sawa na 80% ya makisio.
  • Wanafunzi waliofaulu kujiunga kidato cha kwanza (1) toka kata ya Imalamakoye ni 38 sawa na 100% yawanafunzi walihitimu Darasa la VII, 2017.
  • Ufaulu wa mtihani wa DRS VII  Taifa ni 100% ambapo wanafunzi walikuwa 38 na 38 wote wamefauli kiwango wastani A mpaka D

SEKTA YA MAJI.

Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Imalamakoye ni kama inavyoonyesha apa chini:-

Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji


ASILI
VILIVYO
ENDELEZWA
VYA PAMPU
VYA MUDA
BOMBA(GATI)
IDADI
8
1
1
0
1

 

SEKTA YA AFYA

Kata ya Imalamakoye inandelea na juhudi za ujenzi wa zahati moja ya kijiji cha Imalamakoye ambapo iko katika hatua za umaliziaji. Pia  iko jirani na Kata ya Urambo ambapo inapatikana Hospitali ya Wilaya, hivyo wananchi wa kata ya Imalamakoye wanatumia Hospitali ya wilaya ya Urambo kupata huduma za afya. 

Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika ofisi ya kata Imalamakoye kwa kila mwezi (Mobile Clinic)

 

SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO

  • Kilimo 

Kata ya Imalamakoye ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.

  • Mazao ya chakuna ni pamoja na Mahindi, Maharage, Mihogo, Viazi Vitamu, Mpunga, Karanga na Mtama.
  • Mazao ya Biashara ni pamoja na Tumbaku, Korosho, Pamba, Alizeti, Karanga, Mpunga, Mahindi, Maharage,na  Vizai Vitamu,
  • Mifugo.  Kata ya Imalamakoye inayo mifugo inatokadriwa kufika 4786 kwa mchanganuo ufuatao:

NG’OMBE
MBUZI
KONDOO
NGURUWE
KUKU
BATA
MBWA
IDADI
2079
107

207
2112





Pia kuna mabwawa 2 ambapo mabwawa 1 ni linatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki na jingine kwa ajili ya maji ya mifugo.

 

SEKTA YA BARABARA

Kata ya Imalamakoye ina barabara za Vijiji km 7 barabara za Wilaya km 6.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za vijana za kujiunga na JKT 2024/2025 October 02, 2024
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 01, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili September 21, 2024
  • Tangazo kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya vikundi vya vijana, wanawake na walemavu October 02, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI URAMBO ASHIRIKIANA NA MAAFISA KUCHANGIA VIFAA VYA WANAFUNZI WA UMITASHUMTA NA UMISSETA

    May 13, 2025
  • MHE. DKT. MKANACHI AZINDUA ZAHANATI YA KINHWA

    April 25, 2025
  • URAMBO YAADHIMISHA MUUNGANO KWA MATEMBEZI, USAFI NA KUPANDA MITI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO, YATEMBELEA KITUO CHA AFYA NA NYUMBA ZA WAKUU WA DIVISHENI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep DOCUMENTATION
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • BEMIS
  • Wahe. Madiwani

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Tovuti ya sekretarieti ya Ajira
  • Fomu ya Maadili ya Viongozi kwa Mtandao
  • Public Service
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa Tanzania.
  • Ikulu

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Bomani Urambo

    Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora

    Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824

    Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141

    Barua pepe: ded@urambodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.