UTANGULIZI
Kata ya kapilula ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, ambapo ipo upande wa mashariki mwa makao makuu ya Wilaya kwa umbali wa kilomita 2.5.Pia kwa upande wa mashariki imepakana na Kata ya Itundu magharibi inapakana na Kata ya Muugano upande wa kaskazini inapatikama na Kata za Urambo na Kiyungi na upande wa kusini inapakana na kata ya Kasisi
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 03 na vitongoji 10, inayo ofisi 1 ya Kata na 1 ya Serkali ya Kijiji cha Ulasa ‘B’.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
KAPILULA
|
USONGERANI
|
MLIMANI
|
MAILI NNE
|
|
2
|
ULASA ‘A’
|
KITONGOJI ‘A’
|
KITONGOJI ‘B’
|
KITONGOJI ‘C’
|
|
3
|
ULASA ‘B’
|
UTUSINI
|
UTEMINI
|
RELINI
|
USWAHILINI
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 6850 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
2061
|
2143
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
52
|
1
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
3
|
66
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Kapilula inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
3
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Kapilula ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
35
|
2
|
2
|
1
|
1
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Kapilula iko jirani na Kata ya Urambo ambapo inapatikana Hospitali ya Wilaya, hivyo wananchi wa kata ya Kapilula wanatumia Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika ofisi ya kata kapilula kwa kila mwezi (Mobile Clinic)
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Kapilula ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
2351
|
269
|
117
|
138
|
4749
|
|
|
Pia kuna mabwawa 3 ambapo mabwawa 2 ni kwa ajili ya kunyweshea mifugo na 1lipo kijiji cha Ulasa ‘B’ linatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Kapilula ina barabara za Vijiji km 16 barabara za Wilaya km 73 na za Kitaifa km 4.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.