UTANGULIZI
Kata ya Kiloleni ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo na ipo katika tarafa ya Ussoke, iko umbali wa 37km kutoka makao makuu ya wilaya ya Urambo. Kwa upande wa Mashariki na Kusini kata imepakana na Halmashauri ya Wilaya ya Kaliua, upande wa Magharibi imepakana na Kata ya Usisya, Kaskazini imepakana na Kata ya Ussoke.
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI / WATENDAJI KATA YA KILOLENI
KADA/CHEO |
SIMU |
KADA/CHEO |
SIMU |
Mhe DIWANI |
0744400458
|
VEO-KILOLENI
|
0762144935
|
WEO
|
0675936699
|
VEO-KALEMBELA
|
0629979890
|
VEO-KINHWA
|
0627687372
|
AEK
|
0754807768
|
AFISA KILIMO
|
0686179101
|
|
|
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 04 na vitongoji 21, inayo ofisi 1 ya Kata na 1.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
KINHWA
|
|
|
|
|
|
|
|
|
||
|
|
|
|
|
|
2
|
KILOLENI
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3
|
KALEMELA
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4.
|
MWINYI
|
|
|
|
|
|
|
|
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 7275 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
3625
|
3650
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
AEK
|
AFISA MIFUGO
|
AFYA
|
IDADI
|
47
|
3
|
1
|
1
|
1
|
3
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
4
|
104
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Kiloleni inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
|
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Kiloleni ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
98
|
|
|
|
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Kiloleni ina zahanati 1 ya kiloleni pia wananchi wa kata ya Kiloleni wanatumia Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto (RCH) hutolewa kila siku katika zahani ya kiloleni.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Kiloleni ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha Chakula na Biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
7462
|
1750
|
|
52
|
38970
|
|
|
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Kiloleni ina barabara za Vijiji km 47 barabara za Wilaya km () na za Kitaifa () (Taarifa inaadaliwa)
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.