UTANGULIZI
Kata ya Kiyungi ipo katika Mamlaka ya Mji Mdogo wa Urambo.
UTAWALA
Kata ya Kiyungi inaundwa na Vitongoji Vitatu(3) ambavyo ni Maswanya, Fundikila na Nkenyela.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vitongoji Vyake
VITONGOJI |
||
MASWANYA
|
FUNDIKILA
|
NKENYELA
|
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 4468 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
2197
|
2271
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
83
|
0
|
1
|
1
|
0
|
JUMLA
|
|
|
|
|
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VITONGOJI |
DIWANI
|
1
|
3
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Kiyungi inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
(Taarifa inaadaliwa)
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
|
|
Taarifa nyinginezo za Elimu ni kama ifuatavyo:
DARASA LA AWALI
|
DARASA LA KWANZA
|
||||||||||
MALENGO
|
HALI HALISI
|
MALENGO
|
HALI HALISI
|
||||||||
WV
|
WS
|
JM
|
WV
|
WS
|
JM
|
WV
|
WS
|
JM
|
WV
|
WS
|
JM
|
97
|
97
|
174
|
98
|
88
|
186
|
126
|
123
|
249
|
206
|
187
|
392
|
SEKTA YA MAJI.
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
15
|
|
|
|
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Kiyungi iko jirani na Kata ya Mchikichini ambapo inapatikana Zahanati ya KAMSEKWA, hivyo wananchi wa kata ya Kiyungi wanatumia zahanati hiyo na Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Kiyungi iko kwenye eneo la Mamlaka ya mji mdogo, hivyo shughuli za Kilimo na Ufugaji haziruhusiwi kulingana na sheria za Mamlaka ya Mji.
SEKTA YA BARABARA
(Taarifa inaandaliwa)
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.