UTANGULIZI
Kata ya Mchikichini ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Halamhauri ya wilaya ya Urambo na ni miongoni mwa kata 3 zinazounda Mamlaka ya Mji Mdogo wa Urambo.
Table 1: MAWASILIANOM YA VIONGOZI KATA YA MCHIKICHINI
1
|
CHEO/KADA
|
MAWASILIANO YA SIMU YA MKONONI
|
||
2
|
Mhe. Diwani
|
0784766975
|
||
3
|
Mtendaji
|
0626903289 au 0682051981
|
||
4
|
AEK
|
0787007058
|
||
5
|
Mwl – Chetu SS
|
0786709454
|
||
6
|
Mwl - Umoja SM
|
0787585829
|
||
7
|
Mganga-KAMSEKWA
|
0785817976
|
||
8
|
M/KTI KAMSEKWA
0784664722 |
M/KITI MILAMBO
0787455253 |
M/KITI ISIKE
0783478210 |
M/KTI MNADANI
0787924612 |
Kata ya Mchikichini inaundwa na Vitongoji Vinne(4) ambavyo ni Kamsekwa, Milamb, Mnadani na Isike.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vitongoji Vyake
|
VITONGOJI |
|||
JINA
|
KAMSEKWA
|
MILAMBO
|
MNADANI
|
ISIKE
|
Kata ina jumla ya wakazi 9300 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
4400
|
4900
|
Kata ya Mchikichini ina jumla ya Watumishi 62 kwa mchanganuo ufuatao:-
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
AFYA
|
WATENDAJI WA KATA
|
AEK
|
AFISA KILIMO &MIFUGO
|
IDADI
|
53
|
6
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VITONGOJI |
DIWANI
|
1
|
4
|
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
1
|
1
|
Taarifa nyinginezo za Elimu ni kama ifuatavyo:
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Mchikichini ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
74
|
0
|
0
|
0
|
6
|
Kata ya Mchikichini inayo Zahanati 1 tu ya KAMSEKWA ya umma ikiwa na jumla ya watumishi 6, wakiume 1 na wakike 5, hivyo wananchi wanatumia zahanati hiyo na Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Pia huduma ya mama na mtoto hutolea katika Zahanati ya KAMSEKWA.
(Taarifa inaandaliwa)
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.