UTANGULIZI
Kata ya Muungano ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, ambapo ipo upande wa mashariki mwa makao makuu ya Wilaya kwa umbali wa kilomita 2.5.Pia kwa upande wa mashariki imepakana na Kata ya Ussoke magharibi inapakana na Kata ya Uyogo upande wa kaskazini inapatikama na Kata za Kapilula na upande wa kusini inapakana na kata ya Songambele
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 04 na vitongoji 21, inayo ofisi 1 ya Kata na 3 ya Serkali ya Kijiji cha Kalemela A, Kalemela B na Muungano.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
KALEMELA ‘A’
|
KALEMELA ‘A’A KATI
|
MAGHARIBI ‘A’
|
MAGHARIBI ‘B’
|
MASHARIKI’A’,
MASHARIKI’B’ |
2
|
KALEMEMLA ‘B’
|
UTUSINI
|
KALEMELA KATI
|
MWANGAZA
|
UPENDO
|
3
|
MUUNGANO
|
MITIMIREFU,
USUKUMANI |
USWAHILINI
MTAKUJA ‘A’ |
MTUKULA,
MTAKUJA ‘B’ |
MUUNGANO ‘B’
|
4
|
MAGULUNGU
|
LEGEZAMWENDA
|
MAGULUNGU KATI
|
MAPAMBANO ‘A’
|
MAPAMBANO ‘B’
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 14,092 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
6056
|
8036
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
71
|
4
|
1
|
1
|
1
|
JUMLA
|
|
|
|
|
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
4
|
87
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Muungano inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
7
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Kata ya Muungano ina jumla ya visima vya maji 263Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Muungano ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
VYA KUDUMU
|
BOMBA/GATI
|
IDADI
|
163
|
78
|
22
|
78
|
16
|
0
|
Taarifa nyinginezo za maji ni kama mifuatavyo:
SEKTA YA AFYA
Kata ya Muungano (Taarifa inaadaliwa)
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Muungano ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
6143
|
488
|
93
|
12360
|
4749
|
|
344
|
Kata inao wavuvi wapatao 15 wanaotumia nyavu kama zana za uvuvi, ambapo hupata mazao takriban 170 kg ya samaki kwa mwaka aina ya kambale na sato. Huvuliwa kutoka ndani ya mabwawa 12 yanayo patikana ndani ya kata, pia tuna vikundi vine vya uvuvi na ufugaji samaki.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Muungano ina barabara za Vijiji km 49 barabara za Wilaya km 8 madaraja ni 8. Na hali ya barabara ni ya wastani.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.