UTANGULIZI
Kata ya Nsenda ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, kwa upande wa mashariki imepakana na Kata za Ugalla na Kasisi, magharibi inapakana na Kata ya Imalamakoye upande wa kaskazini inapatikama na hifadhi ya Taifa ya NORTH UGALLA, na upande wa kusini inapakana na kata ya Imalamakoye.
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI / WATENDAJI KATA YA NSENDA
KADA/CHEO |
SIMU |
KADA/CHEO |
SIMU |
Mhe. DIWANI
|
0629260930
|
Mwl MKUU NSENDA S/M
|
0621089399
|
MTENDAJI WA KATA
|
0625889611
|
Mwl MKUU MTAKUJA S/M
|
0629276071
|
AFISA ELIMU KATA
|
0625889611
|
Mwl MKUU MKOLA S/M
|
0623059654
|
AFISA KILIMO
|
0623918541
|
Mwl MKUU ITEBULANDA S/M
|
0629261512
|
Mwl MKUU LUNYETA S/M
|
0622345955
|
MTENDAJI KIJIJI KANGEME
|
0620632152
|
MTENDAJI KIJIJI ITEBULANDA
|
0627686929
|
MGANGA ITEBULANDA
|
062733839
|
MKUU WA SHULE IMALAMAKOYE
|
0621121816
|
|
|
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 03 na vitongoji 10, ofisi za vijiji ni 4, ofisi ya kata ni 1.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
||
1
|
NSENDA
|
|
KANOGE | MLIMANI |
2
|
ITEBULANDA
|
|
ITEBULANDA | MAFENGI |
3
|
KANGEME
|
|
LUNYETA | KANGEME |
4
|
UTENGE
|
|
MKOLA | UTENGE |
5
|
MTAKUJA
|
|
MTAKUJA | MIFUGONI |
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 1683 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
7710
|
8473
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO/MIFUGO
|
IDADI
|
44
|
5
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
5
|
96
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Nsenda inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
5
|
1 |
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Nsenda ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
72
|
20
|
7
|
12
|
0
|
Pia kuna Malambo 5 ya maji.
SEKTA YA AFYA
Kata ya Nsenda inayo Zahanati 1 ya ITEBULANDA inayomilikiwa na serikal ya kijiji cha Itebulandai, pia wananchi wa kata ya Nsenda wanatumia Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Pia Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika ofisi ya Zahanati ya Nsenda kwa kila mwezi.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Nsenda ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
PUNDA | WENGINEO |
IDADI
|
9679 | 1288 | 138 | 50 | 18646 | 229
|
267 | 30 | 1193 |
Kuna Mabwawa ya kufugia samaki 7 katika vijiji vya Itebulanda 2, Utenge 5.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Nsenda ina barabara za Vijiji km 4 barabara za Wilaya km 23 na madaraja yapatayo 12. Matengenezo/marekebisho ya barabara yanafanyika ambapo jumla ya km 6 za barabara zimefanyiwa matengenezo ya kawida. (Routine Maintanance and Spot Improvement)
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.