Kata ya Ukondamoyoi ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, kwa upande wa mashariki imepakana na Kata ya Imalamakoye, Magharibi ni kata ya Vumila na Wilaya ya Kaliua, upande wa kaskazini inapatikama na kata za Urambo na Vumilaia, na upande wa kusini inapakana na kata ya Ifadhi ya NORTH UGALLA.
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI / WATENDAJI KATA YA UKONDAMOYOI
KADA/CHEO
|
SIMU
|
KADA/CHEO
|
SIMU
|
Mhe. DIWANI
|
0629684068
|
Mhe. Diwani V/M
|
0784677143
|
MTENDAJI WA KATA
|
0688776859
|
Mwl MKUU IFUTA S/M
|
0628376420
|
AFISA ELIMU KATA
|
0622597639
|
Mwl MKUU NHOLONGO S/M
|
0629683191
|
AFISA KILIMO
|
0688030638
|
Mwl MKUU KAMALENDI S/M
|
0622346294
|
Mwl MKUU AMANII S/M
|
0627337468
|
Mwl MKUU MAGEREZA S/M
|
0789139055 |
Mwl MKUU UTEBE S/M
|
0629925162 | Mwl MKUU UKONDAMOYOI S/M
|
0621089399
|
Mwl MKUU UKONDMOYO S/M
|
0787619010
|
MTENDAJI KIJIJI TUMAINI
|
0627686866
|
MTENDAJI KIJIJI IFUTA
|
|
MGANGA KAMALENDI
|
0628376545
|
MTENDAJI KIJIJI UKONDAMOYO
|
0624714047
|
MGANGA MAGEREZA
|
0756291222
|
MKUU WA SHULE UKONDMOYO
|
0763865631
|
MTENDAJI KIJIJI KAMALENDI
|
0624107637
|
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 04 na vitongoji 27, ofisi za vijiji ni 4, ofisi ya kata ni 1.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
UKONDAMOYO
|
FARM1 2
|
FARM 10
|
FARM 9
|
FARM 8
|
FARM 2 CORNER
|
UTUSINI ‘A’
|
UTUSINI ‘B’
|
FARM 14
|
||
|
|
|
|
|
|
2
|
TUMAINI
|
FARM 5
|
FARM 13
|
NHOLONGO
|
UJIRANIMWEMA
|
MABATINI
|
MTAKUJA
|
|
|
||
|
|
|
|
|
|
3
|
IFUTA
|
KILOLENI
|
SATINI
|
SEVENI
|
UTEBE
|
IBANA
|
TUJITEGEMEE
|
|
|
||
|
|
|
|
|
|
4
|
KAMALENDI
|
NAMBA MOJA-TATU
|
NAMBA NNE
|
NAMBA TANO
|
NAMABA SITA-SABA
|
|
|
NAMABA TISA -KUMI
|
KATUTUBILA
|
KARIAKOO
|
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 16176 Kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
7358
|
8818
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
AEK
|
AFISA MIFUGO/KILIMO
|
IDADI
|
52
|
3
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
2
|
4
|
84
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Ukondamoyoi inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
7
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Ukondamoyoi ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
72
|
20
|
5
|
12
|
20
|
Pia kuna Matanki 4 ya kuvunia maji ya mvua.
SEKTA YA AFYA
Kata ya Ukondamoyoi inazo Zahanati 2 za MAGEREZA NA KAMALENDI, Zahanati ya Kamalendi inamilikiwa na serikal ya kijiji cha Kamalendi na Magereza iko chini ya Jeshi la Magereza. Pia wananchi wa kata ya Ukondamoyoi wanatumia Hospitali ya wilaya ya Urambo kupata huduma za afya.
Pia Huduma ya mama na mtoto (RCH) hutolewa katika Zahanati zote kwa kila siku
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Ukondamoyoi ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
PUNDA
|
WENGINEO
|
IDADI
|
19323
|
4795
|
831
|
57
|
17476
|
514
|
971
|
34
|
1694
|
Kuna Mabwawa ya kufugia samaki ()
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Ukondamoyoi ina barabara za Vijiji km () barabara za Wilaya km ()na madaraja yapatayo ()
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.