UTANGULIZI
Kata ya Ussoke ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, ambapo ipo katika tarafa ya Ussoke, upande wa mashariki imepakana na Wilaya ya Uyui, magharibi inapakana na Kata ya Usisya ,upande wa kaskazini inapatikama na Kata za Kiloleni na upande wa kusini inapakana na kata ya Uyumbu na Ugalla.
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI KATA YA USSOKE
KADA/CHEO
|
SIMU
|
KADA/CHEO
|
SIMU
|
Mhe. Diwani
|
0783658864
|
AFISA KILIMO
|
0766099209
|
Mtendaji (WEO)
|
0684172417
|
MGAMGA-USSOKE HC
|
0784664880
|
VEO-Ussoke Mjini
|
0757227987
|
VEO-Itegamatwi
|
0687427212
|
AEK
|
0784466890
|
VEO-Usongelani
|
0756867636
|
Mwl USONGELANI SS | 0784145452 | Mwl Ussoke SM | 0758261746 |
Mwl Usongelani SM | 0786150236 | Mwl Mapinduzi SM | 0629192048 |
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 03 na vitongoji 15, inayo ofisi 1 ya Kata na 2 za Serkali za vijiji vya Ussoke mjini na Usongelani.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake.
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
USSOKE MJINI
|
USSOKE SOKONI,
|
MAGHARIBI,
|
MAJENGO,
|
KASKAZINI
|
IMALAMIHAYO
|
MASHARIKI
|
ILENDA
|
|
||
|
|
|
|
|
|
2
|
ITEGAMATWI
|
KAKOLA
|
IHEGA
|
UYELA
|
MLIMANI
|
MIFUGONI
|
|
|
|
||
3
|
USONGELANI
|
USONGELANI ‘A’
|
USONGELANI ‘B’
|
USONGELANI ‘C’
|
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 8671 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
4151
|
4520
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
AEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
45
|
3
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
3
|
3
|
63
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Ussoke inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
4
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Ussoke ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
VYA KUDUMU
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
176
|
30
|
9
|
86
|
1
|
5
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Ussoke ina Kituo cha Afya 1 cha Ussoke kinacho hudumia wakazi wa tarafa ya ussoke pamoja na wilaya jirani ya Uyui.Pia wananchi wa kata ya Ussoke wanatumia Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika katika kitupo cha Afya Ussoke kwa kila siku.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Ussoke ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
PUNDA
|
IDADI
|
4727
|
4480
|
117
|
48
|
13665
|
|
364
|
4
|
Pia kuna mabwawa 7 ambapo mabwawa 6 ni kwa ajili ya kunyweshea mifugo.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Ussoke ina barabara
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.