UTANGULIZI
Kata ya Uyumbu ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo (TAARIFA BADO INAANDALIWA)
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 06 na vitongoji 29, inayo ofisi 1 ya Kata na 2 za Serkali za Viijiji.Katika kijiji cha Yelayela jengo la ofisi liko katika hatua ya umaliziaji.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
|
|
|
|
|
2
|
|
|
|
|
|
3
|
|
|
|
|
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 17224 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
8207
|
9017
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
AFYA
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
52
|
7
|
2
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
2
|
6
|
119
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Uyumbu inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
5
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Uyumbu ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
45
|
11
|
14
|
1
|
0
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Uyumbu inazo Zahanati 2 ambazo ni Izimbili yenye watumishi 4 na Nsogolo yenye watumshi 3. Wananchi wa kata ya Uyumbu wanatumia zahanati hizo na Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika zahanati tajwa apo juu kila mwezi.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Uyumbu ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
10344
|
3540
|
714
|
547
|
2573
|
|
|
Kuna Josho 1 kwa ajili ya kuogesha mifugo.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Uyumbu ina barabara za Vijiji km 5 barabara za Wilaya km 36 na za Kitaifa km 24, na madaraja madogo ni 16.
.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.