UTANGULIZI
Kata ya Vumilia ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, kwa upande wa Mashariki imepakana na Kata ya Urambo, Kwa upande wa Magharibi na Kasikazini imepakana na Wilaya ya Kaliua na upande wa kusini imepakana na Kata ya Ukondamoyo
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI/WATENDAJI KATA YA NSENDA
KADA/CHEO
|
SIMU
|
KADA/CHEO
|
SIMU
|
Mhe. DIWANI
|
0626544511
|
Mwl MKUU MOTOMOTO S/M
|
|
MTENDAJI WA KATA
|
0625470628
|
Mwl MKUU NKOKOTO S/M
|
|
AFISA ELIMU KATA
|
0629637735
|
MTENDAJI KIJIJI NKOKOTO
|
|
AFISA KILIMO
|
0757337433
|
MTENDAJI KIJIJI UHURU
|
|
Mwl MKUU CHEKELENI S/M
|
0629691513
|
MTENDAJI KIJIJI CHEKELENI
|
0620632152
|
MTENDAJI KIJIJI MOTOMOTO
|
|
MGANGA ITEBULANDA
|
062733839
|
MKUU WA SHULE VUMILIA
|
|
MTENDAJI KIJIJI VUMILIA
|
|
UTAWALA
Kata ina jumla ya vijiji 05 na vitongoji 21, inayo ofisi 1 ya Kata na 1.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
||||
1
|
MOTOMOTO
|
KASULU
|
UNYANYEMBE
|
SUMBAWANGA
|
MIRAMBO
|
|
MIFUGONI
|
MBAONI
|
|
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
2
|
CHEKERENI
|
KASKAZINI
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
3
|
VUMILIA
|
UTULIVU
|
VUMILIA KATI
|
VUMILIA KASKAZINI
|
VUMILIA KUSINI
|
|
|
|
|
|
|
|
|
4.
|
UHURU
|
CHEMKENI
|
UJIJI
|
UHURU
|
MASHARIKI
|
|
MIFUGONI
|
UPENDO
|
|
|
|||
|
|
|
|
|
|
|
5.
|
NKOKOTO
|
NKOKOTO
|
MASHARIKI
|
NKOKOTO MAGHARIBI
|
MIFUGONI
|
|
KATUTUBILA
|
|
|
|
.
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 12480 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
6176
|
6304
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
AEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
61
|
1
|
4
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
5
|
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Vumilia inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
5
|
1
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Vumilia ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
80
|
26
|
4
|
6
|
2
|
Taarifa nyingine ni kama ifuatavyo:-
SEKTA YA AFYA
Kata ya Vumilia inazo zahanati 3 za Vumilia, Motomoto na Nkokoto zenye jumla ya watumishi 9.
Pia wananchi wa kata ya Vumilia wanatumia Hospitali ya wilaya Urambo kupata huduma za afya.
Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto (RCH) hutolewa kila siku katika zahani tajwa apo juu.
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Vumilia ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha Chakula na Biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
6700
|
832
|
117
|
260
|
8780
|
|
|
Pia kuna Josho 1 kwa ajili ya kuogeshea mifugo.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Vumilia ina barabara za Vijiji km () barabara za Wilaya km () na za Kitaifa () (Taarifa inaadaliwa)
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.