Katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa mwaka 2024 Jimbo la Urambo, Vyama mbalimbali vya Siasa viliingia katika kinyang'anyiro cha kuwania nafasi mbalimbali muhimu katika mamlaka za Vijiji na Vitongoji. Aidha baada ya Uchaguzi kufanyika mnamo tarehe 27.11.2024
na wananchi kuchagua viongozi walioona wanawafaa kwa ajili ya kuwaletea maendeleo matokeo yaliweza kutangazwa kama inavyoonekana pichani.
Aidha nafasi mchanganuo wa nafasi zilizogombewa kwa Jimbo zima la Urambo ni kama ifuatavyo.
Washindi wa Nafasi hizo wameanza kutekeleza majukumu ya kuwatumikia Wananchi wa maeneo yao mara baada ya Kuapishwa Mwishoni mwa Juma lililopita (29.11.2024)
Kazi Iendelee
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.