• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Urambo  District  Council
Urambo  District  Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Urambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu msingi
      • Elimu sekondari
      • Idara ya Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Fedha
    • Kata
      • Kata Zetu
    • Kibali cha Safari
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kiutumishi
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
      • Mwaka 2020-2025
      • Mwaka 2015-2020
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Afya, Elimu na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati Nyinginezo
        • Kamati ya Ugawaji wa Viwanja
        • Kamati ya Ajira
        • Kamati ya ALAT Mkoa
        • Wajumbe wa Mamlaka ya Mji Mdogo
    • Ratiba ya Vikao
    • Taarifa mbalimbali
  • Miradi
    • Miradi Mipya Itayotekelezwa
    • Miradi inayaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Sheria
    • Taarifa
    • Taratibu
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Matukio
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video

ONE STOP CENTER KUWA MWAROBAINI WA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA URAMBO.

Siku iliyowekwa: June 25th, 2025


Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe. Dkt. Khamis Athuman Mkanachi amefungua Kituo Jumuishi cha kutoa huduma kwa waathirika wa ukatili wa kijinsia(One Stop Center) katika Wilaya ya Urambo, ili kuhakikisha wahanga wa matukio ya ukatili wa kijinsia wanapata mahala pa kupata msaada na Faragha zao kulindwa.


Uzinduzi huo umefanyika katika Hospitali ya Wilaya ya Urambo tarehe 24.06.2025, katika jengo la wagonjwa wa nje (OPD) ambapo ndipo Huduma Jumuishi (One Stop Center) ilipo.


 Uzinduzi huo umehudhuriwa na Wadau mbalimbali wakiwemo Kamati ya Ulinzi na Usalama Wilaya, Mkurugenzi mtendaji aliyeambatana na baadhi ya Watumishi wa Halmashauri, Viongozi wa Vyama vya Siasa, Viongozi wa Dini na Wadau na Taasisi za umma na Binafsi.


Katika uzinduzi huo Mhe. Dkt. Mkanachi amesema kuwa, wadau wote wanapaswa kuwa mabalozi kwa wananchi ili kufikisha ujumbe juu ya uwepo wa Kituo jumuishi katika Hospitali ya Wilaya kwa ajili ya kuwahudumia wahanga wa matukio ya ukatili ili wananchi wa Urambo waweze kutumia kituo hicho.


Aidha Mhe. Dkt. Mkanachi amesema kuwa, kwa sasa mmonyoko wa maadili umekithiri sana kwani hatari ya matukio ya ukatili wa kijinsia ni kubwa kwa makundi mbalimbali walengwa wa matukio hayo. 


Ameeleza kuwa maeneo yaliyokuwa yanatarajiwa kuwa salama nayo yameripotiwa kuwa na matukio hayo, hivyo ni wajibu wa kila mtu kuweka nguvu ya pamoja kuandaa mazingira salama ya kupunguza matukio hayo pamoja na kutumia kituo hicho pale ambapo matukio yanajitokeza.


Mhe. Dkt. Mkanachi aliueleza Umma uliojitokeza kushuhudia ufunguzi huo kuwa, sababu kubwa yakuanzisha kituo hicho ni kuondoa Usumbufu na hofu kwa Wananchi wanaokutana na Ukatili katika uwasilishwaji wa Matatizo yao kwani awali huduma ilikuwa haipatikani sehemu moja, hivyo ilimlazimu mhanga kupita maeneo mbalimbali.


Aidha Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine amesema kuwa, Katika Jamii kuna matukio mengi ya ukatili wa kijinsia hivyo amempongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan aliyekuja na wazo la kuanzishwa kwa vituo jumuishi katika vituo vya kutolea huduma za Afya, hali inayosaidia katika uboreshawaji wa utoaji wa huduma kwa wananchi.


Akizungumza katika ufunguzi huo Mganga Mkuu wa Wilaya ya Urambo Dkt. David Manyama amesema kuwa, Kituo hicho kinajumuisha maafisa Ustawi wa Jamii, Polisi, Daktari na wataalamu wengine muhimu ambao watamsaidia mhanga kuweza kupata huduma stahiki.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za vijana za kujiunga na JKT 2024/2025 October 02, 2024
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 01, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili September 21, 2024
  • Tangazo kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya vikundi vya vijana, wanawake na walemavu October 02, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ONE STOP CENTER KUWA MWAROBAINI WA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA URAMBO.

    June 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI H/W URAMBO

    June 23, 2025
  • MADIWANI URAMBO WAAGWA

    June 20, 2025
  • WANANCHI WA KATA YA UGALA WAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MRADI WA KITUO CHA AFYA

    June 18, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep DOCUMENTATION
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • BEMIS
  • Wahe. Madiwani

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Tovuti ya sekretarieti ya Ajira
  • Fomu ya Maadili ya Viongozi kwa Mtandao
  • Public Service
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa Tanzania.
  • Ikulu

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Bomani Urambo

    Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora

    Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824

    Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141

    Barua pepe: ded@urambodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.