Siku iliyowekwa: October 20th, 2019
Na. Edward Rumanyika, Urambo
Waziri wa Ujenzi, Uchukuzi na Mawasilisano, Mhe. Isack Kamwelwe amezindua huduma ya mtandao wa mawasiliano ya intaneti kwa shule za Sekondari 14 zilizopo Wilaya ya Uram...
Siku iliyowekwa: July 18th, 2019
Na. Edward C.Rumanyika, Urambo
Naibu Waziri wa Nishati, Mhe. Subira Mgalu amepiga goti kama ishara ya kuwashukuru wananchi wa Kijiji cha Uhuru, Kata ya Vumilia Wilayani Urambo mkoani Tabor...
Siku iliyowekwa: July 9th, 2019
Waziri wa Elimu Sayansi na Technolojia Pro. Joyce Lazalo Ndalichako(Mb) amezindua Chuo cha Elimu na Mafunzo ya Ufundi Stadi cha wilaya ya Urambo (VETA Urambo) katika hafla fupi ya uzinduzi iliyofanyik...