Siku iliyowekwa: July 2nd, 2018
Maandamano ya wanafunzi shule za msing 77 na sekondari 17 Wilyani Urambo yamefanyika leo tarehe 02.07.2018 ikiwa ni siku ya kufungua shule Muhula wa Pili Kitaifa kuanzia saa 1:30 Asubuhi hadi saa 5:00...
Siku iliyowekwa: June 8th, 2018
Ofisi ya TANROAD Mkoa wa Tabora imezurudisha jumla ya nyumba 13, ofisi 1 na chumba 1 cha maabara kuwa miliki ya Halmashauri ya wilaya ya Urambo kuanzia tarehe 5.6 2018, ...
Siku iliyowekwa: May 30th, 2018
Mkuu wa Mkoa wa Tabora Aggrey Mwanri ametoa Hati 103 za umiliki wa ardhi za kimila ambazo hazina kikomo kwa wakazi wa Kijiji cha Itebulunda kata ya Nsenda wakati wa mkutano mkuu maalumu wa kijij...