Siku iliyowekwa: October 4th, 2025
Timu ya Madaktari Bingwa wa Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan imeacha alama njema Wilayani Urambo kwa kutibu wagonjwa zaidi ya 250, kupitia Kambi waliyoiweka kwa muda wa Siku tano kuanzia tarehe 29.09.202...
Siku iliyowekwa: October 2nd, 2025
Urambo, Tabora
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Mkoani Tabora, Bi. Grace Quintine ametembelea miradi anuai inayotekelezwa katika Kata mbalimbali za Tarafa ya Urambo na Uss...
Siku iliyowekwa: September 29th, 2025
Urambo,
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine tarehe 29.09.2025 akiwa pamoja na wajumbe wa timu ya Menejimenti ya Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ...