Siku iliyowekwa: June 20th, 2025
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imefanya tafrija ya kuwaaga Waheshimiwa Madiwani waliofikia ukomo wa Uongozi wao wakiwa kama wawakilishi wa Wananchi wa Wilaya ya Urambo.
Madiwani hao walio...
Siku iliyowekwa: June 18th, 2025
Wananchi wa Kata ya Ugala Wilayani Urambo, wameonyesha furaha yao na kusema kuwa wameupokea mradi wa kituo kipya cha Afya katika Kata hiyo.
Wananchi hao wameonyesha furaha hiyo wakati amba...
Siku iliyowekwa: June 17th, 2025
Urambo - Tabora.
Kamati ya Siasa Mkoa wa Tabora kupitia mwenyekiti wake Ndugu. Said Juma Nkumba, imesisitiza juu ya uelimishwaji wa wananchi juu ya umuhimu wa kutunza miundombinu ya ...