Siku iliyowekwa: November 2nd, 2024
Mkutano wa Baraza la Madiwani wa Robo ya kwanza 2024/2025 umefanyika katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo tarehe 01.11.2024 kwa ajili ya kujadili mambo mbalimbali ikiwemo kupokea taarifa kutoka kati...
Siku iliyowekwa: September 19th, 2024
Wilaya ya Urambo imegawa madawati 819 ikiwa ni awamu a Pili katika shule 13 kwa ajili ya kukabiliana na changamoto ya upungufu wa madawati na kuboresha sekta ya elimu.
Akizungumza katika hafla ya u...
Siku iliyowekwa: September 12th, 2024
Baraza la Madiwani la Halmashauri ya Wilaya ya Urambo limekutana katika ukumbi wa mikutano wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo tarehe 12.09.2024 kwa ajili ya kufanya mkutano wa mwaka, ambapo mkutano hu...