Siku iliyowekwa: June 8th, 2025
Hayo yamesemwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine, katika tafrija ya kuwapokea na kuwapongeza wanafunzi walioshiriki michezo ya UMISSETA 2025 Mkoani Tabora.
...
Siku iliyowekwa: June 7th, 2025
Timu ya wanafunzi wa Shule za Sekondari walioshiriki mashindano ya UMISSETA Mkoani Tabora imeng'ara na kufanya vyema katika michezo mbalimbali na kufanikiwa kubeba jumla ya vikombe 10.
...
Siku iliyowekwa: June 6th, 2025
Mkuu wa mkoa wa Tabora Mhe. Paul Chacha amewataka Wananchi wa Tabora kutunza Mazingira kwa manufaa ya vizazi vya sasa na vijavyo.
Mhe. Paul Matiko Chacha amesema hayo wakati akihutubia ka...