Siku iliyowekwa: June 4th, 2025
Urambo - Tabora
Mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bw. Masudi I. Masudi amewapongeza na kuwashukuru wananchi wa kata ya Nsenda kwa kutoa eneo lenye ukubwa...
Siku iliyowekwa: May 13th, 2025
Urambo, Tabora.
Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine, leo tarehe 13.05.2025 amekabidhi jezi seti nne kwa Maafisa Elimu kutoka divisheni za Elimu ya ...
Siku iliyowekwa: April 25th, 2025
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Mhe. Dkt. Khamis Mkanachi amezindua Zahanati ya Kinhwa iliyopo kata ya KIloleni Wilayani Urambo na kuwapongeza Viongozi wa Kata na Wananchi wa Kata hiyo kwa ushirikiano wao ka...