Siku iliyowekwa: May 31st, 2024
"Kwa Mtazamo wangu kama Msimamizi wa Serikali katika Wilaya ya Urambo, kufikia mwezi Novemba hali ya Upatikanaji wa maji, nina imani itakuwa zaidi ya 70% mpaka 75% kwa sababu Kasi ya miradi ni kubwa"
...
Siku iliyowekwa: May 27th, 2024
Mkuu wa Wilaya ya Urambo Kamishna Msaidizi Mwandamizi wa Uhifadhi (SACC)Elibariki Bajuta amewataka waendesha Pikiki maarufu Bodaboda Wilayani Urambo kuheshimu vyombo vya Ulinzi na Usalama na kushiriki...
Siku iliyowekwa: May 15th, 2024
Jamii imetakiwa kushirikiana katika malezi na makuzi ya mtoto tangu anapokuwa tumboni hadi kuzaliwa kwake, kwani ukuaji wa mtoto hutegemea zaidi kusikia na kuona.
Hayo yamesemwa na Afisa Usta...