• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Urambo  District  Council
Urambo  District  Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Urambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu msingi
      • Elimu sekondari
      • Idara ya Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Fedha
    • Kata
      • Kata Zetu
    • Kibali cha Safari
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kiutumishi
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
      • Mwaka 2020-2025
      • Mwaka 2015-2020
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Afya, Elimu na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati Nyinginezo
        • Kamati ya Ugawaji wa Viwanja
        • Kamati ya Ajira
        • Kamati ya ALAT Mkoa
        • Wajumbe wa Mamlaka ya Mji Mdogo
    • Ratiba ya Vikao
    • Taarifa mbalimbali
  • Miradi
    • Miradi Mipya Itayotekelezwa
    • Miradi inayaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Sheria
    • Taarifa
    • Taratibu
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Matukio
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video

Elimu msingi

UTANGULIZI

Idara ya  Elimu Msingi ilianzishwa mwaka 1975 baada ya Wilaya ya Urambo kuanzishwa. Idara ilianzishwa kwa mujibu wa Sheria Idara inatekeleza Sera ya Elimu na Mafunzo ya mwaka 2014 yenye Dira ‘kuwa na Mtanzania aliyeelimika na mwenye maarifa, stadi, umahiri, uwezo na mitazamo chanya ili kuchangia katika kuleta maendeleo ya Taifa.  Dhima ya Elimu ni ‘kuimarisha ubora wa Elimu na mafunzo na kuweka mifumo na taratibu zitakazowezesha kupata idadi kubwa ya Watanzania walioelimika na wanaopenda kujielimisha zaidi ili waweze kuchangia katika kufikia malengo ya Taifa letu.

WATUMISHI WA IDARA

Idara ina jumla ya Watumishi 765 kwa mchanganuo ufuatao:-

  • Makao makuu ya Halmashauri Idara ina jumla ya Maafisa wa Elimu 8
  • Ngazi ya Kata Idara ina jumla ya Maafisa Elimu Kata 18
  • Ngazi ya Shule Idara ina jumla ya Walimu 739

MAWASILIANO KATIKA IDARA YA ELIMU MAKAO MAKUU YA HALMASHAURI





S/N

JINA

CHEO

MAWASILIANO

1
Grace Ishengoma Afisa Elimu Msingi
0767930071
2
Severine Kapongo
Afisa Elimu Taaluma
0788 455 249
3
Gambalala M. Suga
Afisa Elimu Vifaa Na Takwimu
0787 669 043
4 Masalu B. Washima
Afisa Elimu Vielelezo
0787 793 000
5 Colletha Hassan
Afisa Elimu Maalum
0686 673 920
6 John Kasunya
Afisa Elimu Vielelezo
0783 803 238
7 Rehema Masanja
Kaimu Afisa Michezo
0785 006 568

 

MAWASILIANO YA NGAZI YA KATA:

Ma afisa Elimu Kata 

Mawasiliano yao

Walimu Wakuu wa Shule

Mawasiliano yao


HUDUMA

Idara inatoa huduma zote za kielimu kwa Wananchi wote wa Wilaya ya Urambo na nje ya Wilaya kwa muda wote wa siku za kazi Jumatatu hadi Ijumaa saa 1.30 asubuhi hadi saa 9.30 mchana.

Pia Idara ya Elimu Msingi inatoa huduma kwa wananchi zikiwemo

  • Kusimamia Shule zote za Elimu ya Awali na Elimu ya Msingi kwa Shule za Serikali na binafsi.
  • Kuhakikisha utoaji wa huduma bora za Elimu kwa kufuata sheria, kanuni, taratibu na miongozo iliyowekwa na Serikali.
  • Kuhamisha wanafunzi wa Elimu ya Msingi ndani na nje ya Wilaya. Pata maelezo zaidi apa.....UHAMISHO...
  • Kupokea malalamiko na kuyashughulikia yanayohusu Elimu ya Msingi katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo.
  • Kushirikiana  na wadau wa Elimu ndani na nje ya Wilaya katika kutatua changamoto za kielimu.
  • Pia Idara inatekeleza mpango wa kuinua Ubora wa Elimu Tanzania EQUIPT-T (Education Quality Improvement Programme) ambapo mpango una malengo yafuatayo:-
  • Kuongeza uwezo wa ufundishaji wa Walimu
  • Kuboresha uongozi na Utawala wa Shule
  • Kuimarisha Uongozi wa Wilaya
  • Kuinua ushiriki wa Jamii katika Maendeleo ya Shule
  • Kuinua kiwango cha ufaulu wa Wanafunzi (hasa watoto wa kike)
  • Idara pia inasimamia miradi ya Shule kujiongezea kipato ‘Income generating Activity’ (IGA)


Matangazo

  • Tangazo la nafasi za vijana za kujiunga na JKT 2024/2025 October 02, 2024
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 01, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili September 21, 2024
  • Tangazo kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya vikundi vya vijana, wanawake na walemavu October 02, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI URAMBO ASHIRIKIANA NA MAAFISA KUCHANGIA VIFAA VYA WANAFUNZI WA UMITASHUMTA NA UMISSETA

    May 13, 2025
  • MHE. DKT. MKANACHI AZINDUA ZAHANATI YA KINHWA

    April 25, 2025
  • URAMBO YAADHIMISHA MUUNGANO KWA MATEMBEZI, USAFI NA KUPANDA MITI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO, YATEMBELEA KITUO CHA AFYA NA NYUMBA ZA WAKUU WA DIVISHENI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep DOCUMENTATION
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • BEMIS
  • Wahe. Madiwani

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Tovuti ya sekretarieti ya Ajira
  • Fomu ya Maadili ya Viongozi kwa Mtandao
  • Public Service
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa Tanzania.
  • Ikulu

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Bomani Urambo

    Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora

    Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824

    Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141

    Barua pepe: ded@urambodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.