UTANGULIZI
Kata ya Imalamakoye ni miongoni mwa Kata 18 zinazounda Wilaya ya Urambo, ambapo ipo Kusini mwa makao makuu ya Wilaya. Pia kwa upande wa Kusini imepakana na Kata Nsenda ,Mashariki Kata za Kapilula na Kasisi Kaskazini Kata ya Urambo na Magharibi Kata ya Ukondamoyo.
UTAWALA
Kata ina kijiji 01 na vitongoji 4, inayo ofisi 1 ya Serkali ya Kijiji cha Imalamakoye.
Jedwali 1: Mchanganuo wa Vijiji na Vitongoji Vyake
NA
|
KIJIJI
|
VITONGOJI |
|||
1
|
IMALAMAKOYE
|
MACHEMBA
|
IMALAMAKOYE ‘B’
|
IMALAMAKOYE ‘C’
|
IMALAMAKOYE ‘D’
|
IDADI YA WATU
Kata ina jumla ya wakazi 6015 kwa mchanganuo ufuatao:-
IDADI YA WATU
|
|
ME
|
KE
|
2569
|
3446
|
UONGOZI NA WATUMISHI
Jedwali 2: Mchanganuo wa Watendaji wa Kuajiliwa
KADA
|
WALIMU
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
WATENDAJI WA KATA
|
MEK
|
AFISA MIFUGO
|
IDADI
|
14
|
0
|
1
|
1
|
1
|
Jedwali 3: Mchanganuo wa Viongozi wa Kuchaguliwa
KADA
|
DIWANI
|
WENYEVITI WA VIJIJI |
WAJUMBE WA SERIKALI ZA VIJIJI |
DIWANI
|
1
|
1
|
23
|
SEKTA YA ELIMU
Kata ya Imalamakoye inazo taasisi za Elimu kama ifuatavyo:
Jedwali 4: Mchanganuo wa Taasisi za Elimu
|
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
IDADI
|
1
|
1 (inajengwa)
|
Taarifa nyingine za Elimu ni:
SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji wa maji katika Kata ya Imalamakoye ni kama inavyoonyesha apa chini:-
Jedwali 5: Mchanganuo wa Visima vya Maji
|
ASILI
|
VILIVYO
ENDELEZWA |
VYA PAMPU
|
VYA MUDA
|
BOMBA(GATI)
|
IDADI
|
8
|
1
|
1
|
0
|
1
|
SEKTA YA AFYA
Kata ya Imalamakoye inandelea na juhudi za ujenzi wa zahati moja ya kijiji cha Imalamakoye ambapo iko katika hatua za umaliziaji. Pia iko jirani na Kata ya Urambo ambapo inapatikana Hospitali ya Wilaya, hivyo wananchi wa kata ya Imalamakoye wanatumia Hospitali ya wilaya ya Urambo kupata huduma za afya.
Tambihi : Huduma ya afya ya mama na mtoto hutolewa katika ofisi ya kata Imalamakoye kwa kila mwezi (Mobile Clinic)
SEKTA YA KILIMO NA MIFUGO
Kata ya Imalamakoye ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
|
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
IDADI
|
2079
|
107
|
|
207
|
2112
|
|
|
Pia kuna mabwawa 2 ambapo mabwawa 1 ni linatumika kwa ajili ya ufugaji wa samaki na jingine kwa ajili ya maji ya mifugo.
SEKTA YA BARABARA
Kata ya Imalamakoye ina barabara za Vijiji km 7 barabara za Wilaya km 6.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.