Kamati ya Fedha Uongozi na Mipango
Mwenyekiti Wa halmashauri ndiye Mwenyekiti wa kamati hii.
Kamati hiii inaundwa na Wenyeviti wa Kamati za kudumu za Halmashauri Pamoja na Wajumbe wanaoteuliwa na Mwenyekiti.
Kamati hii hufanya Vikao vyake Kila Mwezi na kujadili taarifa za Utekelezaji wa Shughuri za kila siku za Halmashauri.
ORODHA YA WAJUMBE KAMATI YA FEDHA, UONGOZI NA MIPANGO
Na |
Jina Kamili |
Kata |
Wadhifa |
1 |
Mhe. Adam H. Malunkwi
|
Diwani Kata ya Uyumbu
|
Mwenyekiti |
2 |
Mhe. Elia P.Kafwenda
|
Diwani Kata ya Songambele
|
Mjumbe |
3 |
Mhe. Margreth Simwanza Sitta
|
Mbunge wa Urambo
|
Mjumbe |
4 |
Mhe. Mashaka Mussa Kayanda
|
Diwani Kata ya Ukondamoyo
|
Mjumbe |
5 |
Mhe. Jafari Mkuyu Kankila
|
Diwani Kata ya Usisya
|
Mjumbe |
6
|
Mhe. Mohamed Heris Ally
|
Diwani Kata ya Kiyungi
|
Mjumbe |
7
|
Mhe. Liffa M. Sitta
|
Diwani kata ya Ugalla
|
Mjumbe |
8
|
Mhe. Magreth L. Simon
|
Diwani V/M Kata ya Uyogo
|
Mjumbe |
9
|
Mhe.Olipa Brown Kamende
|
Diwani V/M Uyumbu
|
Mjumbe |
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.