TAARIFA JUU YA IDARA YA MAZINGIRA NA UDHIBITI TAKA NGUMU KATIKA HALMASHAURI YA WILAYA YA URAMBO
UTANGULIZI
1.1. MAELEZO JUU YA IDARA
Idara ya Mazingira na Udhibiti Taka Ngumu ni miongoni mwa Idara mpya zilizoanza majukumu yake mwaka 2011/2012 baada ya kuhuishwa kwa Muundo wa Idara za Halmashauri na kuwa na Idara 13 na vitengo vyenye hadhi ya Idara 6. Idara hii ilianzishwa kwa mujibu wa Waraka wa Maendeleo ya Utumishi Na. 1 wa mwaka 2011. Idara hii inavyo vitengo 3 na sehemu 6 kuwezesha utekelezaji wa majukumu yake ya kila siku.
2.0. WATUMISHI WA IDARA (HQ, KATA, VIJIJI, VITONGOJI)
Kutokana na upungufu wa watumishi, Idara hii kwa sasa ina Mtumishi 1 tu ngazi ya Wilaya. Mahitaji ya watumishi yameonyeshwa katika Ikama hapo chini.
Na. |
Wataalam |
Waliopo |
Upungufu |
Jumla hitajika |
1 |
Mkuu wa Idara
|
1 |
0 |
1 |
2 |
Wana Sayansi Mazingira
|
0 |
2 |
2 |
3 |
Maafisa Afya Mazingira
|
0 |
8 |
8 |
Jumla kuu |
1 |
10 |
11 |
3.0. MUUNDO WA IDARA YA MAZINGIRA NA UDHIBITI TAKA NGUMU
|
|
4.0. MAWASILIANO KATIKA IDARA
NA
|
JINA
|
CHEO
|
KITUO
|
MAWASILIANO
|
1 |
Shadrack W. Yomba
|
Mkuu wa Idara
|
Urambo
|
0787001595 / 0753949805
|
2 |
Fortunatus S. Mgila
|
Afisa Mazingira
|
Urambo
|
0767700123 / 0713700123
|
3 |
Saidi Kaniki
|
Afisa Mazingira
|
Urambo
|
0762227556 / 0624243004
|
KWA TAARIFA ZAIDI ZA IDARA
A: HUDUMA KWA JAMII SOMA HAPA | |
|
B: HABARI PICHA NA MATUKIO SOMA HAPA |
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.