• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Urambo  District  Council
Urambo  District  Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Urambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu msingi
      • Elimu sekondari
      • Idara ya Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Fedha
    • Kata
      • Kata Zetu
    • Kibali cha Safari
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kiutumishi
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
      • Mwaka 2020-2025
      • Mwaka 2015-2020
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Afya, Elimu na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati Nyinginezo
        • Kamati ya Ugawaji wa Viwanja
        • Kamati ya Ajira
        • Kamati ya ALAT Mkoa
        • Wajumbe wa Mamlaka ya Mji Mdogo
    • Ratiba ya Vikao
    • Taarifa mbalimbali
  • Miradi
    • Miradi Mipya Itayotekelezwa
    • Miradi inayaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Sheria
    • Taarifa
    • Taratibu
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Matukio
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video

Ufugaji


FURSA ZA UWEKEZAJI

KILIMO

Wilaya ya Urambo ina jumla ya hekta 87,984 zinazofaa kwa kilimo, kati ya hizo hekta 10,400 zinafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji eneo hili ni sawa na 11.8% ya eneo linalofaa kwa kilimo. Kati ya eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta zisizozidi 59,000 ndiyo zinazolimwa sawa na 67%.

Hivyo, kaya za wakulima Wilayani Urambo zina wastani wa ekari 2 kwa ajili ya kilimo. Kilimo katika Wilaya ya Urambo kinategemea mvua kwa sehemu kubwa. Wilaya ya Urambo hupata mvua kiasi cha mm 800 hadi mm 1000 kwa mwaka

MAENEO YALIYOTENGWA KWA AJILI YA UWEKEZAJI KATIKA KILIMO

NA
KIJIJI
UKUBWA WA ENEO
MATUIZI YA ENEO
HALI YA ENEO
1
Songambele
250ha
Kilimo cha  alizeti
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa na  Halijalipiwa fidia
2
Izimbili
1600ha
Kilimo cha umwagiliaji-  mpunga
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
3
Ussoke mlimani
350ha
Kilimo cha umwagiliaji- mpunga
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
4
Kalembelea
450 ha
Kilimo cha umwagiliaji mpunga na mbogamboga
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
5
Uyogo
450 ha
Kilimo cha umwagiliaji mpunga na mbogamboga
Eeneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia


Maeneo ya Uwekezaji wa Kibiashara

  • Katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kuna vituo viwili tu vya mafuta, hotel moja na benki mbili yaani NMB na CRDB ambavyo vyote kwa pamoja havitosherezi kutoa huduma vizuri kwa wananchi wa Halmashauri.
  • Halmashauri kupitia idara ya Ardhi na Maliasili imeendelea kutenga maeneo/viwanja kwa ajili ya uwekezaji wa kibiashara kama ifuatavyo;

Maeneo yaliyotengwa kwa ajili ya Biashara

NA
MAHALI ENEO LILIPO
UKUBWA
MATUMIZI
HALI YA HEWA
1
Urambo mjini (Mabatini)
10,000 sqm
Biashara mbalimbali
Eneo lipo  mjini na  limepimwa, kuna miundombinu ya umeme, maji na Barabara. Linafaa sana kujenga Shopping mall
2
Urambo mjini (Matanki manne)
62600sqm na 85710sqm
Uwanja wa michezo, Biashara mbalimbali na maegesho
Eneo lipo mjini, limepimwa na lina miundombinu yote muhimu
3
Urambo mjini (ST. VICENT)
27553.71sqm
Maegesho ya magari
Eneo limepimwa lipo pembezoni mwa barabara kuu ya Tabora - Kigoma
4
Urambo mjini
Viwanja 2 (28,131 sqm)
Vituo vya mafuta
Eneo limepimwa na lipo pembezoni mwa barabara kuu
5
Urambo mjini
Viwanja 6 (154,000 SqM)
Hotel za kisasa
Eneo limepimwa
6
Urambo mjini
Viwanja 16 (73,260 sqm)
Taasisi/mabenki
Eneo limepimwa
7
Urambo mjini
5,223 Sqm
Lodge/kumbi za mikutano na Restaurant
Kuna jengo linalohitaji ukarabati  na maboresho ya kisasa


Maeneo ya uwekezaji wa viwanda
•Halmashauri ya Wilaya ya Urambo inalo eneo lenye jumla ya viwanja 63 vilivyopimwa kwa ajili ya  viwanda  vidogo, vya  kati na vikubwa.

•Eneo hili la viwanda linafikika vizuri na miundombinu muhimu inaendelea kuwekwa katika eneo hilo.

Maeneo tengwa kwa ajili ya ujenzi wa Viwanda

NA
MAHALI ENEO LILIPO
UKUBWA WA ENEO
MATUMIZI YA ENEO
HALI YA ENEO
1
Urambo mjini (Kamsekwa)
30.5ha
Ujenzi wa kiwanda cha Tumbaku
Eneo limepimwa, linahitaji kulipiwa fidia.  Kuna miundombinu ya Reli, Maghala, Barabara, umeme na maji.
2
Urambo mjini
Viwanja 63
Ujenzi wa viwanda vidogo na vya kati
Eneo limepimwa
3
Urambo mjini (Boma village)
9838.39 Sqm
Ujenzi wa soko na vibanda vya maduka
Eneo limepimwa, kuna miundombinu yote muhimu

Urambo mjini (Mnadani)

Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mazao ya mifugo
Eneo limetengwa, halina mgogoro. Kuna miundombinu ya machinjio ya kisasa


Kwanini uwekeze katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo?

Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imekaa kimkakati kutokana na ukweli kwamba ipo katika eneo linalounganisha Wilaya za Kaliua, Mpanda, Kigoma  na barabara kuelekea nchini Kongo, Burundi na Rwanda.


Kutokana na juhudi za Serikali katika kuboresha miundombinu hasa ya barabara, Wilaya ya Urambo imeongeza kasi ya ukuaji wa huduma za jamii ambazo ni kichocheo cha fursa za uwekezaji.


Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Wilaya ya Urambo ambao unavutia watu kutoka ndani na nje ya wilaya yetu imeongeza fursa ya masoko kwa bidhaa na huduma mbalimbali.



Matangazo

  • Tangazo la nafasi za vijana za kujiunga na JKT 2024/2025 October 02, 2024
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 01, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili September 21, 2024
  • Tangazo kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya vikundi vya vijana, wanawake na walemavu October 02, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • MKURUGENZI MTENDAJI URAMBO ASHIRIKIANA NA MAAFISA KUCHANGIA VIFAA VYA WANAFUNZI WA UMITASHUMTA NA UMISSETA

    May 13, 2025
  • MHE. DKT. MKANACHI AZINDUA ZAHANATI YA KINHWA

    April 25, 2025
  • URAMBO YAADHIMISHA MUUNGANO KWA MATEMBEZI, USAFI NA KUPANDA MITI

    April 26, 2025
  • KAMATI YA FEDHA UONGOZI NA MIPANGO, YATEMBELEA KITUO CHA AFYA NA NYUMBA ZA WAKUU WA DIVISHENI

    April 25, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep DOCUMENTATION
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • BEMIS
  • Wahe. Madiwani

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Tovuti ya sekretarieti ya Ajira
  • Fomu ya Maadili ya Viongozi kwa Mtandao
  • Public Service
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa Tanzania.
  • Ikulu

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Bomani Urambo

    Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora

    Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824

    Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141

    Barua pepe: ded@urambodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.