Wilaya ya Urambo ina jumla ya hekta 87,984 zinazofaa kwa kilimo, kati ya hizo hekta 10,400 zinafaa kwa kilimo cha Umwagiliaji eneo hili ni sawa na 11.8% ya eneo linalofaa kwa kilimo. Kati ya eneo linalofaa kwa kilimo ni hekta zisizozidi 59,000 ndiyo zinazolimwa sawa na 67%.
Hivyo, kaya za wakulima Wilayani Urambo zina wastani wa ekari 2 kwa ajili ya kilimo. Kilimo katika Wilaya ya Urambo kinategemea mvua kwa sehemu kubwa. Wilaya ya Urambo hupata mvua kiasi cha mm 800 hadi mm 1000 kwa mwaka
NA
|
KIJIJI
|
UKUBWA WA ENEO
|
MATUIZI YA ENEO
|
HALI YA ENEO
|
1
|
Songambele
|
250ha
|
Kilimo cha alizeti
|
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa na Halijalipiwa fidia
|
2
|
Izimbili
|
1600ha
|
Kilimo cha umwagiliaji- mpunga
|
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
|
3
|
Ussoke mlimani
|
350ha
|
Kilimo cha umwagiliaji- mpunga
|
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
|
4
|
Kalembelea
|
450 ha
|
Kilimo cha umwagiliaji mpunga na mbogamboga
|
Eneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
|
5
|
Uyogo
|
450 ha
|
Kilimo cha umwagiliaji mpunga na mbogamboga
|
Eeneo liko nje ya mji, halijapimwa, halijalipiwa fidia
|
NA
|
MAHALI ENEO LILIPO
|
UKUBWA
|
MATUMIZI
|
HALI YA HEWA
|
1
|
Urambo mjini (Mabatini)
|
10,000 sqm
|
Biashara mbalimbali
|
Eneo lipo mjini na limepimwa, kuna miundombinu ya umeme, maji na Barabara. Linafaa sana kujenga Shopping mall
|
2
|
Urambo mjini (Matanki manne)
|
62600sqm na 85710sqm
|
Uwanja wa michezo, Biashara mbalimbali na maegesho
|
Eneo lipo mjini, limepimwa na lina miundombinu yote muhimu
|
3
|
Urambo mjini (ST. VICENT)
|
27553.71sqm
|
Maegesho ya magari
|
Eneo limepimwa lipo pembezoni mwa barabara kuu ya Tabora - Kigoma
|
4
|
Urambo mjini
|
Viwanja 2 (28,131 sqm)
|
Vituo vya mafuta
|
Eneo limepimwa na lipo pembezoni mwa barabara kuu
|
5
|
Urambo mjini
|
Viwanja 6 (154,000 SqM)
|
Hotel za kisasa
|
Eneo limepimwa
|
6
|
Urambo mjini
|
Viwanja 16 (73,260 sqm)
|
Taasisi/mabenki
|
Eneo limepimwa
|
7
|
Urambo mjini
|
5,223 Sqm
|
Lodge/kumbi za mikutano na Restaurant
|
Kuna jengo linalohitaji ukarabati na maboresho ya kisasa
|
•Eneo hili la viwanda linafikika vizuri na miundombinu muhimu inaendelea kuwekwa katika eneo hilo.
NA
|
MAHALI ENEO LILIPO
|
UKUBWA WA ENEO
|
MATUMIZI YA ENEO
|
HALI YA ENEO
|
1
|
Urambo mjini (Kamsekwa)
|
30.5ha
|
Ujenzi wa kiwanda cha Tumbaku
|
Eneo limepimwa, linahitaji kulipiwa fidia. Kuna miundombinu ya Reli, Maghala, Barabara, umeme na maji.
|
2
|
Urambo mjini
|
Viwanja 63
|
Ujenzi wa viwanda vidogo na vya kati
|
Eneo limepimwa
|
3
|
Urambo mjini (Boma village)
|
9838.39 Sqm
|
Ujenzi wa soko na vibanda vya maduka
|
Eneo limepimwa, kuna miundombinu yote muhimu
|
|
Urambo mjini (Mnadani)
|
|
Ujenzi wa kiwanda cha kuchakata mazao ya mifugo
|
Eneo limetengwa, halina mgogoro. Kuna miundombinu ya machinjio ya kisasa
|
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo imekaa kimkakati kutokana na ukweli kwamba ipo katika eneo linalounganisha Wilaya za Kaliua, Mpanda, Kigoma na barabara kuelekea nchini Kongo, Burundi na Rwanda.
|
|
|
|
Kutokana na juhudi za Serikali katika kuboresha miundombinu hasa ya barabara, Wilaya ya Urambo imeongeza kasi ya ukuaji wa huduma za jamii ambazo ni kichocheo cha fursa za uwekezaji.
|
|
|
|
Kasi ya ukuaji wa uchumi wa Wilaya ya Urambo ambao unavutia watu kutoka ndani na nje ya wilaya yetu imeongeza fursa ya masoko kwa bidhaa na huduma mbalimbali.
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.