1. UTANGULIZI
Idara ya Elimu Sekondari ilianzishwa mwaka 2005 katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo.Lengo lilikuwa ni kusogeza huduma ya Elimu ya Sekondari karibu na wananchi na walimu wa Sekondari ili kuongeza ubora kwenye huduma ya Elimu.
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo ina jumla ya shule za Sekondari 17 kati ya hizo za Serikali ni 14, shule 3 zisizo za Serikali. Tuna shule 3 za kidato cha 5 na cha 6 ambazo ni Urambo day na Uyumbu zenye michepuo ya Sanaa na Sayansi.Pia tuna shule ya Saint Vicent yenye michepuo ya Sanaa na Sayansi, ambayo siyo ya Serikalini.
2. IDARA INA WATUMISHI WATANO.
Jedwali Na. 1. Mawasiliano.
N/S
|
JINA
|
CHEO
|
SIMU
|
1
|
Sara M. Nalogwa
|
Afisa Elimu Sekondari
|
0752-792838
|
2
|
Rudia E.Masatu
|
Afisa Elimu Taaluma
|
0784-292100
|
3
|
Philiip D. Barugahala
|
Afisa Elimu Taaluma
|
0789059595/0679481842
|
4
|
Simon P. Makaranga
|
Afisa Elimu Vifaa na Takwimu
|
0784212664
|
5
|
Anneth I. Mgalula
|
Katibu Muhtasi
|
0622-499637
|
VIONGOZI WALIOONGOZA IDARA YA ELIMU SEKONDARI KUANZIA 2005 HAD SASA
Jedwali Na. 2. Idadi ya Viongozi
S/N
|
JINA
|
MWAKA
|
1
|
Cleophase Mzungu
|
2005-2009
|
2
|
Nicholous Andrea Basisela
|
2009-2017
|
3
|
Sara M. Nalogwa
|
2018-
|
3. IDADI YA WANAFUNZI.
Halmashauri ya Wilaya y a Urambo ina jumla ya wanafunzi 7067 wa shule za serikali na zisizo za serikali kwa kidato cha kwanza hadi cha sita kwa mwaka wa masomo wa 2018.(wanafunzi 6208 shule za serikali na 859 shule zisizo za serikali).
Jedwali Na. 3. Idadi ya Wanafunzi.
S/N
|
KIDATO
|
WAV |
WAS |
JUMLA |
1.
|
I
|
1223 |
1066 |
2289 |
2.
|
II
|
934 |
892 |
1826 |
3.
|
III
|
704 |
606 |
1310 |
4.
|
IV
|
608 |
512 |
1120 |
5.
|
V
|
44 |
249 |
293 |
6.
|
VI
|
69 |
160 |
229 |
|
JUMLA KUU |
7067 |
4. IDADI YA WALIMU.
Halmashauri ya Wilaya ya Urambo inahitaji jumla ya Walimu wa Sekondari 261. Waliopo 231 kati yao wanaume 160 na wanawake 71. (Jedwali Na. 3)
Jedwali Na. 4. Idadi ya Walimu
SOMO
|
MAHITAJI
|
WALIOPO
|
PUNGUFU/ZIDIO
|
||||
|
|
Me |
Ke |
Jml |
Me |
Ke |
Jumla |
Sayansi
|
123
|
48 |
12 |
60 |
41 |
22 |
63 |
Sayansi Jamii
|
138
|
112 |
59 |
171 |
23 |
10 |
33 |
5. MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA 2018
Jedwali na. 5. linaonesha matokeo ya kidato cha sita 2018
Shule
|
WALIOFANYA
|
Daraja
|
|
%
|
NAFASI KIWILAYA
|
NAFASI KIMKOA
|
||||||
|
|
I
|
II
|
III
|
IV
|
O
|
I-III
|
%
|
IV-O
|
|||
St. Vicent
|
25
|
04
|
07
|
14
|
0
|
0
|
25
|
100
|
00
|
00
|
01
|
3/5
|
Urambo
|
122
|
05
|
83
|
33
|
01
|
0
|
121
|
99.2
|
01
|
0.8
|
02
|
7/21
|
Uyumbu
|
73
|
04
|
12
|
41
|
10
|
06
|
57
|
78.0
|
16
|
21.9
|
03
|
16/16
|
Jumla
|
220
|
13
|
102
|
88
|
12
|
06
|
203
|
92.2
|
17
|
7.8
|
|
|
Hali ya ufaulu wa mtihani wa kidato cha sita 2018 ni sawa na asilimia 92.2 Ukilinganisha na ufaulu wa mwaka 2017 ambao ulikuwa 88.4 hivyo kuna ongezeko la asilimia 3.8.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.