TAARIFA YA KATA YA UGALLA.
Kata ya Ugalla ni miongoni mwa kata 18 zinanazouda wilaya ya urambo. Kata hii pia imeundwa na vijiji vitatu (3) ambavyo ni kijiji cha Isongwa, Izengabatogilwe na kijiji cha Ugalla. Kata hii imepakana na kata ya Uyumbu kwa upande Wa Mashariki,Magharibi tumepakana na kata ya Kasisi, kaskazini tumepakana na Ussoke na upande Wa kusini tumepakana hifadhi ya North Ugalla. Hata hivyo kata hii ipo umbali Wa km 15 kutoka Barabara kuu iendayo mkoan tabora ukianzia Ussoke.
Jedwali 1: MAWASILIANO YA VIONGOZI / WATENDAJI KATA YA NSENDA
KADA/CHEO |
SIMU |
KADA/CHEO |
SIMU |
Mhe. DIWANI |
0755551613 |
Mwl MKUU ISONGWA S/M |
0620650827 |
MTENDAJI WA KATA |
0622597586
0759824517 |
Mwl MKUU UGALLA S/M |
0620585495 |
AFISA ELIMU KATA |
0757937234 |
MWENEYEKI: ISONGWA |
0627769973 |
AFISA MIFUGO |
0752428765 |
MWENEYEKI: UGALLA |
0754458922 |
MWENEYEKI: IZENGABATOGILWE |
0624887724 |
MTENDAJI KIJIJI UGALLA |
0620585917 |
MGANGA: ISONGWA |
0759944423 |
Mwl Mkuu: IZENGABATOGILWE S/M |
0629657114 |
MGANGA: IZENGABATOGILWE |
0755163256 |
VEO: IZENGABATOGILWE |
0621468051 |
UTAWALA
IDADI YA WATU.
JINA LA KIJIJI
|
JUMLA YA KAYA
|
ME
|
KE
|
JUMLA
|
Isongwa
|
545
|
2721
|
2675
|
5396
|
Izengabatogilwe
|
380
|
1344
|
1583
|
2927
|
Ugalla
|
364
|
695
|
870
|
1565
|
JUMLA KUU KIKATA.
|
1289
|
4760
|
5128
|
9888
|
N:B kata ya Ugalla Inajumla ya vitongoji 12 ambavyo vyote vinaongozwa na wenyeviti Wa vitongoji ambao hupatikana kupitia uchaguzi Wa serikali za mitaa.
JINA LA KIJIJI
|
JINA LA KITONGOJI
|
JINA LA KITONGOJI
|
JINA LA KITONGOJI
|
JINA LA KITONGOJI
|
JINA LA KITONGOJI
|
Isongwa
|
Isongwa kati
|
Beringi
|
Wafuke
|
Ukuga
|
|
Izengabatogilwe
|
Mtakuja
|
Ujamaa
|
Gimagi
|
Imarampaka
|
Imarauduki
|
Ugalla
|
Ugalla
|
Bloko
|
Ruyembe
|
|
|
MADIWAN
|
W/VITI WA VIJIJI
|
W/VITI VITONGOJI
|
WAJUMBE S/KIJIJI
|
1
|
3
|
12
|
66
|
WATENDAJI WA VIJIJI
|
MTENAJI WA KATA
|
AFISA ELIMU KATA
|
WALIMU
|
WAUGUZI
|
KILIMO
|
2
|
1
|
1
|
23
|
4
|
1
|
SHULE ZA MSINGI
|
ZAHANATI
|
OFISI ZA SERIKALI
|
VYAMA VYA MSINGI
|
ISONGWA S/M
|
ISONGWA
|
S/KIJIJI ISONGWA
|
NGUVUMALI AMCOS
|
UGALLA S/M
|
IZENGABATOGILWE
|
S/KIJIJI UGALLA
|
UGALLA AMCOS
|
IZENGABATOGILWE S/M
|
— |
S/KIJIJI IZENGA
|
UGALLA BEEKEEPERS GROUP
|
3. SEKTA YA ELIMU.
Kata yetu inazo taasisi tatu tu (3) za elimu ambazo wananchi wetu hujipatia elimu hapo. Taasisi hizo ni hizi hapa
Note:- Kata yetu ya Ugalla haina shule ya sekondari kwasasa. Tunatumia sekondari ya kata iliyopo jirani yetu kata ya uyumbu. Ila ujenzi unaenderea natayari tunayo madarasa matatu na nyumba ya mwalimu moja.
Taarifa nyingine za elimu ni:-
NG'OMBE
|
MBUZI
|
PUNDA
|
MBWA
|
WAFUGANYUKI
|
9497
|
2703
|
11
|
609
|
67
|
Note: kata ya Ugalla inavyo vyama vya msingi vitatu ambavyo huwahudumia wananchi wetu ktk kuuza mazao yanayopatikana kwa wakulima wetu.
JINA LA CHAMA CHA MSINGI
|
IDADI YA WANACHAMA
|
ZAO WANALOSHUGULIKA NALO
|
NGUVUMALI AMCOS
|
170
|
TUMBAKU
|
UGALLA AMCOS
|
62
|
TUMBAKU
|
UGALLA BEEKEEPERS GROUP
|
21
|
ASALI MBICHI NA NTA
|
5. SEKTA YA AFYA.
Tunazo zahanati mbili amabazo ni zahanati ya ISONGWA ipo kijiji cha Ugalla na zahanati ya IZENGABATOGILWE ipo kijiji cha Izengabatogilwe. Zahanati zote hizi huwahudumia wananchi wetu Huduma zifuatazo:-
6. SEKTA YA MAJI.
Hali ya upatikanaji Wa maji kwenye kata yetu niwakawaida. Jedwari hapo chini linafafanua
VISIMA ASILI
|
VISIMA VILIVYOENDELEZWA
|
VISIMA VYENYE PAMP
|
MABWAWA
|
JUMLA
|
44
|
09
|
11
|
2
|
66
|
7. SEKTA YA UJENZI/MIUNDOMBINU
8. FULSA AU VIVUTIO TULIVYONAVYO
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.