Ofisi ya Rais - TAMISEMI inapenda kuutangazia Umma kuwa Serikali imetoa nafasi za ajira ya Walimu wa Shule za Msingi na Sekondari. Maombi yote ni kwa njia ya mtandao hivyo walimu wenye sifa waombe kupitia Mfumo wa Maombi ya Ajira
ANGALIZO: Mfumo huu unapatikana na kufunguka kwa haraka na vizuri kupitia miundombinu ya WAN-TAMISEMI, hivyo waombaji wafike aidha ofisi za Mikoa, Jiji, Manispaa, Miji na Halmashauri wakiwa na nyaraka za maombi ili kupata huduma ya mtandao wenye kasi zaidi.
Kuona Tangazo la Ajira bofya |
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.