Ofisi ya Rais TAMISEMI kwa kushirikiana na tasisi ya Benjami Mkapa pamoja na wizara ya Afya, Maendeleo ya Jamii, Jinsia Wazee na Watoto kupitia Mradi wa Mfuko wa Dunia wa kupambana na magonjwa ya Kifua Kikuu, Malaria, VVU/UKIMWI na Mradi wa Mkapa Fellows Program Awamu ya Tatu inawataarifu waombaji wote waliomba nafasi mbalimbali kuanzia 08/02/2019 - 28/02/2019 kuwa mchakato wa kuwpangia vituo vyao vya kazi kwa awamu ya tatu umekamilika.
Kwa maelezo zaidi Soma |
|
Kuona Majina yao bofya |
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.