Wafuatao wanahitajika kufika Halamshauri ya Wilaya ya Urambo kwa ajili ya Usaili nafasi ya kazi ya Dereva Daraja la Pili (II).
Pakua orodha yao hapa .Upatapo taarifa hii mjurishe na mwombaji mwingine.
Tambihi Usaili utafanyika tarehe 10.02.2018 saa 2:00 (mbili) Asubuhi katika ukumbi wa Halmashauri.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2024 Urambo . All rights reserved.