|
Wizara ya fedha kwa kushirikina na ofisi ya OR-TAMISEMI imeanzisha mfumo mpya wa malipo bila kutumia hundi kwa baadhi ya malipo
|
ujulikanao kama TISS (Tanzania Interbank Settlement System). Kila mlipwaji atatakiwa kujaza fomu maalamu ( Vender Form) na kuiwasilisha Idara ya Fedha chumba cha Epicor. Katika Halmashauri ya wilaya ya Urambo Mfumo utaanza kutumika rasmi tarehe 30.04.2017siku ya Jumatatu.
Mambo ya Kuzingatia
Kupakua fomu hii (vender form) bofya maneno ya bluu apa mbele
|
|
|
Kwa maelezo zaidi namna ya kujaza fomu hiyo apo juu angalia mifano ifuatatayo kwa kujaza taarifa zako sehemu zenye rangi nyekundu.
|
|
|
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.