Mkurugenzi Mtendaji(W) Urambo anawatangazia wale wote waliomba nafasi ya Mtendaji wa Kijiji III, Katibu Muhtasi III, na Dreva II kufika halmashauri ya wilaya ya Urambo kwa mujibu wa ratiba kwa ajili kufanya usaili. Majina ya wenye sifa walioitwa kwenye usaili yameambatanishwa hapo chini kwa orodha I hadi Orodha IV.
Kwa maelezo zaidi bofya na soma hili TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI URAMBO
Majina ya walioitwa kwenye Usaili
1. Orodha ya I
2. Orodha ya II
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.