Matokeo ya usaili uliofanyika tarehe 18.01.2018 watendaji wa vijiji yanapatikana hapa. Uonapo tangazo hili mjulishe na mwombaji mwingine kwa taarifa.
Waliofuzu wameitwa kufanya usaili kwa awamu ya pili, na utafanyika kwa awamu kama ifuatavyo:-
Muda kwa awamu zote ni kuanzaia saa mbili(2) Asubuhi.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.