|
TANGAZO LA KUITWA KWENYE USAILI KAZI YA
|
UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA WAPIGA KURA JIMBO LA URAMBO
|
Afisa Mwandikishaji Jimbo la Urambo, anawaalika kuhudhuria Usaili wa Kazi ya Mwandishi Msaidizi na Mwendesha Mshine(BVR OPERATORS) ngazi ya Vituo.
Usaili utafanyika tarehe 11/07/2024 kwa kituo cha ukumbi wa Halmashauri ya wilaya ya Urambo na 12/07/2024 kwa kituo cha Usongelani shule ya Sekondari iliyopo kata ya ussoke.
Aidha, muda wa kuanza Usaili kwa kila kituo ni saa 2:00 Asubuhi hivyo waombaji wazingatie muda.
Waombaji watajigharamia Nauli na Chakula.
Orodha ya majina walioitwa kwenye Usaili inapatikana PAKUA HAPA pia kila kwenye ubao wa matangazo wa kila Kata
Imetolewa na,
|
|
|
|
Mohamed Motomoto Afisa Mwandikishaji JIMBO LA URAMBO |
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.