Majina na orodha ya kada za Makarani, Wasimamizi wa Maudhui na TEHAMA inapatikana hapa chini. Aidha tarehe ya mafunzo ni 31.07.2022 hadi 18.08.2022 saa 2:00 Asubuhi na yatatolewa katika kumbi za shule za sekondari za kutwa Ukombozi, Urambo na katika chuo cha Maendeleo cha Wananchi FDC Urambo. Kwa mawasiliano zaidi 0714 330 614 na 0688 714 191 mratibu wa sensa 2022 Urambo.
Zingatia: Kila mshiriki anatakiwa kuja na Kitambulisho/Namba ya NIN (National Identification Number (NIDA))
Mawasiliano Mengine kwa zoezi la Sensa
Louis P. Bura -Mkuu wa Wilaya | 0714 025 414 | Yassin Kweyunga -AEK Itundu Mkufunzi | 0752 218 818 |
Baraka M. Zikatimu -Mkurugenzi Mtendaji(W) | 0782 828 287 | Paul Shilla -AEK Kasisi Mkufunzi | 0757 937 234 |
Twaha Mwachalula - AEK Urambo Mkufunzi | 0685 998 224 | Joel Mshitu -AEK Uyumbu Mkufunzi | 0767 665 380 |
Andrew Kitambi - AEK Ugalla Mkufunzi | 0620 273 486 | Patrick Nyimbi -AEK Nsenda Mkufunzi | 0766 227 895 |
Janny Mzilo -AEK Imalamakoye Mkufunzi | 0682 130 313 | Yassin Ntabhindi -AEK Ukondamoyo Mkufunzi | 0714 715 919 |
Anthony Nkuyumba -AEK Songambele Mkufunzi | 0623 767 377 | Furaha Mwaikeke -AEK Usisya Mkufunzi | 0626 271 526 |
Jumanne Daudi -AEK Uyogo Mkufunzi | 0626 729 747 | Elia Ndabita -AEK Kiloleni Mkufunzi | 0785 323 623 |
Godfrey Kakila- AEK Kiyungi Mkufunzi | 0787 043 000 | Frank Daniel -AEK Muungano Mkufunzi | 0688 836 054 |
Hamis Hussein -AEK Mchikichini Mkufunzi | 0787 007 058 | Anyelwisye Mwanyesya -AEK Vumilia Mkufunzi | 0621 195 365 |
Gerald Mlinga -AEK Kapilula Mkufunzi | 0784 794 553 | Joel Mshitu -AEK Uyumbu Mkufunzi | 0767 665 380 |
1. MAKARANI pakua hapa
2. WASIMAMIZI WA MAUDHUI pakua hapa
3. TEHAMApakua paha
Sensa kwa Mendeleo; Jiandae Kuhesabiwa
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.