UTAWALA.
Kata ya usisya ina jumla ya vijiji 04 na vitongoji 15, ina ofisi za Vijiji 04 na ya Kata 01.
IDADI YA WATU.
Kata ya usisya ina jumla ya wakazi 14,798
Jumla ya Watu
|
WATOTO
|
UWEZO WA KUFANYA KAZI
|
WASIO NA UWEZO WA KUFANYA KAZI
|
||||
me
|
ke
|
ME
|
KE
|
ME
|
KE
|
ME
|
KE
|
6879
|
7919
|
3901
|
4407
|
2,519
|
2940
|
494
|
537
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
|
ELIMU.
Kata ya Usisya ina jumla ya shule 7 kwa mchanganuo ufuatao
SHULE ZA MSINGI
|
SHULE ZA SEKONDARI
|
6
|
1
|
AFYA.
Kata ya usisya inazahanati 01 pia huduma ya mama na mtoto kwa vijiji vyote 04 hupatikana.
MAJI.
VYA ASILI
|
VILIVOENDELEZWA
|
VYA PAMPU
|
24
|
110
|
12
|
.
07. UTAMADUNI.
Kata inavyo viwanja vya michezo 17 clabu za mpira 14 vikundi vya uzalishaji 10 vikundi vya sanaa 07.
KILIMO.
Kata ya Usisya ina eneo la kutosha kwa ajili ya kilomo cha chakula na biashara.
MIFUNGO
NG’OMBE
|
MBUZI
|
KONDOO
|
NGURUWE
|
KUKU
|
BATA
|
MBWA
|
13420
|
7253
|
|
45
|
160960
|
|
|
F. UJENZI.
Kataya Usisya ina barabara za vijiji km 122 barabara za wilaya km 12 za mkoa km 12 za kitaifa km 12 madaraja 21 Hali za barabara hizo ni wastani.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.