Mkuu wa mkoa was Tabora Mhe. Aggrey Mwanri akizindua zoezi la upandaji miti kwenye chama cha msingi kata ya Imalamakoye mnamo tarehe 15.01.2018 wilayani Urambo.
Mkuu wa mkoa amesisitiza kwamba kila mwanachama apande miti kulingana na makisio ya tumbaku yake ili kutunza mazingira na kukidhi vigezo vya kulima tumbaku.
Pia Mkuu wa mkoa amewaagiza viongozi wa vyama vya msingi pamoja na wataalam wa Halmashauri wahakikishe wanakagua miti yote iliyosambazwa kwa wakulima kama inapandwa na kutunzwa vizuri.
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.