• Wasiliana nasi |
    • MMM |
    • Barua Pepe |
    • Malalamiko |
Urambo  District  Council
Urambo  District  Council

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na Serikali za mitaa Halmashauri ya wilaya ya Urambo

  • Mwanzo
  • Kuhusu sisi
    • Historia
    • Dira na Dhima
    • Maadili ya Msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo wa Taasisi
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali watu
      • Viwanda, Biashara na Uwekezaji
      • Mipango,Takwimu na Ufuatiliaji
      • Maendeleo ya Jamii
      • Ardhi na Maliasili
      • Elimu msingi
      • Elimu sekondari
      • Idara ya Mazingira
      • Mifugo na Uvuvi
      • Kilimo,Umwagiliaji na Ushirika
      • Afya
      • Ujenzi
    • Vitengo
      • Kitengo cha TEHAMA
      • Kitengo cha Ukaguzi wa Ndani
      • Kitengo cha Sheria
      • Ugavi na Manunuzi
      • Kitengo cha Fedha
    • Kata
      • Kata Zetu
    • Kibali cha Safari
  • Fursa za Uwekezaji
    • Vivutio vya Watalii
    • Kilimo
    • Ufugaji
  • Huduma Zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Kiutumishi
    • Uvuvi
  • Madiwani
    • Orodha ya Wahe. Madiwani
      • Mwaka 2020-2025
      • Mwaka 2015-2020
    • Kamati za Kudumu
      • Kamati ya Fedha, Uongozi na Mipango
      • Kamati ya Afya, Elimu na Maji
      • Kamati ya Uchumi, Ujenzi na Mazingira
      • Kamati ya Maadili
      • Kamati ya UKIMWI
      • Kamati Nyinginezo
        • Kamati ya Ugawaji wa Viwanja
        • Kamati ya Ajira
        • Kamati ya ALAT Mkoa
        • Wajumbe wa Mamlaka ya Mji Mdogo
    • Ratiba ya Vikao
    • Taarifa mbalimbali
  • Miradi
    • Miradi Mipya Itayotekelezwa
    • Miradi inayaoendelea
    • Miradi iliyokamilika
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Fomu za Maombi
    • Sheria
    • Taarifa
    • Taratibu
    • Zabuni
  • Kituo cha Habari
    • Picha
    • Hotuba
    • Matukio
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video

WATAFITI WA MISITU KUTOKA SUA WAPOKELEWA URAMBO

Siku iliyowekwa: June 10th, 2025

Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Urambo Bi. Grace Quintine amekutana na Wataalamu kutoka Chuo Kikuu cha Kilimo Sokoine (Sokoine University of Agriculture - SUA), waliofika Wilayani Urambo kwa ajili ya kufanya utafiti juu ya uendelevu wa misitu kulingana na matumizi ya sasa katika matumizi mbalimbali ya binadamu ikiwemo kilimo cha Tumbaku.


Bi. Grace Quintine amefanya kikao na wataalamu hao katika ofisi yake mnamo tarehe 09.06.2025 na kuzungumza nao juu ya namna ambavyo Kilimo cha Tumbaku kinaathiri misitu, na kuwaeleza juu ya mipango ya Wilaya ya kuhakikisha mazingira yanaendelea kutunzwa na misitu kuendelea kuwepo katika Wilaya ya Urambo.


Aidha amewasihi wafanye utafiti wao katika Wilaya nzima ya Urambo juu ya vyanzo vingine vinavyochangia kuhatarisha uwepo wa misitu kwa matumizi yajayo, na kuwaomba pia kuja na njia na za kunusuru misitu ili ziweze kutumika.


Wataalamu hao kutoka SUA wamekuja kwa mwaliko kutoka katika kampuni ya Tumbalu ya Mkwawa Leaf Tobacco Ltd, kwa lengo la kufanya utafiti unaowagusa wakulima na wadau wa kampuni hiyo ili kuweza kuona kama rasilimali zilizopo zinatosha na zinakidhi mahitaji ya muda mrefu.

Matangazo

  • Tangazo la nafasi za vijana za kujiunga na JKT 2024/2025 October 02, 2024
  • UBORESHAJI WA DAFTARI LA KUDUMU LA MPIGA KURA AWAMU YA PILI May 01, 2025
  • Tangazo la Kuitwa Kwenye Usaili September 21, 2024
  • Tangazo kuhusu urejeshwaji wa mikopo ya vikundi vya vijana, wanawake na walemavu October 02, 2024
  • Angalia zote

Habari Mpya

  • ONE STOP CENTER KUWA MWAROBAINI WA MATUKIO YA UKATILI WA KIJINSIA URAMBO.

    June 25, 2025
  • TANGAZO LA NAFASI ZA KAZI H/W URAMBO

    June 23, 2025
  • MADIWANI URAMBO WAAGWA

    June 20, 2025
  • WANANCHI WA KATA YA UGALA WAUPOKEA KWA MIKONO MIWILI MRADI WA KITUO CHA AFYA

    June 18, 2025
  • Angalia zote

Video

Waziri wa maji, Prof. Makame Mbarawa
Video zaidi

Kurasa za Karibu

  • Tovuti ya ofisi ya mkuu wa mkoa
  • FFARS USER GUIDE
  • PlanRep DOCUMENTATION
  • Facility Financial Accounting and Reporting System (FFARS)
  • Kata Zetu
  • BEMIS
  • Wahe. Madiwani

Tovuti mashuhuri

  • Ofisi ya Rais Tawala za mikoa na serikali za mitaa
  • Tovuti ya sekretarieti ya Ajira
  • Fomu ya Maadili ya Viongozi kwa Mtandao
  • Public Service
  • Matokeo ya Mtihani wa Taifa Tanzania.
  • Ikulu

Waliotembelea Tovuti

world map hits counter

Waliotembelea

writingMasterThesis

Ramani ya Sehemu

Wasiliana nasi

    Bomani Urambo

    Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora

    Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824

    Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141

    Barua pepe: ded@urambodc.go.tz

Mawasiliano Mengine

   

    • sera ya faragha
    • Kanusho
    • MMM
    • Ramani
    • Huduma

Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.