Kitengo cha Nyuki kimeundwa na sehemu 2 ambazo ni:
Nyuki
Misitu
Nyuki ina majukumu yafuatayo:
Kusimamia uanzishaji wa hifadhi za nyuki na manzuki
Kutangaza sera na sheria za ufugaji nyuki
Kukusanya takwimu za rasiliali na ufugaji nyuki
Kupanga na Kupima ubora wa mazao ya nyuki
Kutoa elimu juu ya mbinu bora za ufugaji nyuki na uhifadhi wa bioanuai
Misitu ina majukumu yafuatayo
Kusimamia upandaaji na uhudumiaji wa miti na misitu
Kusimamia uendelezaji wa misitu ya kupandwa na ya asili
Kufanya utafiti wa misitu
Kutekeleza sera na sheria za misitu
Kukusanya Takwiu za Misitu
Kupanga na kupima madaraja ya mbao
Kudhibiti leseni na uvunaji wa miti
Kutoa ushauri na mafunzo kwa wananchi juu ya uendeleaji na matumizi endelevu ya miti kwa wananchi
Kufanya ukadiriaji wa rasilimali za misitu
Kupima maeneo na kuchora ramani za misitu
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.