Kitengo cha Uchaguzi katika Halmashauri ya Wilaya ya Urambo kilianzishwa mwaka 2012,
Baada ya Muundo mpya wa Idara na Vitengo katika Halmashauri yetu kuridhiwa na Mamlaka husika.
2. WATUMISHI.
Kitengo kina mtumishi mmoja ambaye ni Mkuu wa kitengo cha Uchaguzi wa Wilaya.
3. MAWASILIANO KATIKA KITENGO.
S/N
|
JINA
|
CHEO
|
MAWASILIANO
|
1
|
SADOKI MAGESA MASINI
|
Mkuu wa kitengo cha uchaguzi
|
|
4. HUDHUMA ZINAZOTOLEWA.
Kutokana na majukumu mbalimbali yanayofanywa na kitengo, wananchi wananufaika kwa
5. MATOKEO YA CHAGUZI MBALIMBALI
NA
|
AINA YA UCHAGUZI
|
KIELELEZO
|
MWAKA
|
1
|
UDIWANI KATA YA KIYUNGI
|
A
|
AGOSTI, 2018
|
2
|
UCHAGUZI MKUU
|
B
|
OKTOBA, 2015
|
|
|
|
|
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.