Katika kipindi cha Uongozi wa Awamu ya sita hadi sasa Wilaya imefanikiwa kuboresha miundombinu ya elimu ikiwa ni adhima ya Serikali ya kutoa elimu bora kwa wote kwa kuhakikisha mazingira ya kujifunzia na kufundishia yanakuwa rafiki na salama. Katika kutekeleza mkakati wa kuhakikisha elimu inakuwa haki ya kila mtanzania, Serikali kupitia Halmashauri imetekeleza miradi mbalimbali ya ujenzi ikiwemo vyumba vya madarasakatika elimu ya msingi113, madarasa 202 katika elimu ya sekondari, nyumba za walimu 08 katika shule za msingi 09 katika shule za sekondari, Aidha wilaya imejenga jumla ya matundu 442ya vyoo katika shule za msingi na 30 katika shule za sekondari na mabweni 7. Katika kipindi hiki cha miaka mitatu, kupitia sekta ya elimu miradi mikubwa ifuatayo imetekelezwa
Kwa habari zaidi soma hapa
Bomani Urambo
Anunani ya posta: Mkurugenzi Mtendaji (W), 30 Br ya Boma Stendi, S.L.P 170. 45582 Urambo Tabora
Simu ya mezani: +255 (0) 262 965 824
Simu ya mkononi: DED GRACE:0786821141
Barua pepe: ded@urambodc.go.tz
Copyright ©2025 Urambo . All rights reserved.